Pages

Friday, February 22, 2013

Check Moja Ya Vazi Alilovaa Flaviana Matata Kwenye NY Fashion Week 2013...


Hili ni vazi ambalo limebuniwa kwa mtindo wa MIKANDA kuanzia juu hadi chini. Ni vazi la ajabu kidogo kutokana na mtindo kwa maana ya ubunifu uliotumika kwa utengenezaji wa vazi hilo.
Flaviana Matata, mwanamitindo kutoka Tanzania alitumika kuonesha vazi hili kwenye Runway ya NY Fashion Weekmwaka huu