Pages

Friday, February 22, 2013

JCB Afunga Ndoa...


Rapper kutoka kundi la Watengwa lililopo A-City, JCB ambae hivi karibuni ametoka kuachia track yake inayokwenda kwa jina la Niende Wapi akiwa ameshirikiana na Domokaya amevuta jiko hivi karibuni...
JCB sasa ameuacha u-bachelor rasmi baada ya kufunga ndoa rasmi siku ya jumatano ya Tarehe 20 mwezi huu.Ndoa hii imeonekana kuwa ni ya kimya kimya sana maana sio watu wengi waliokuwa wakijua juu ya tukio hilo.
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye harusi hiyo...