Pages

Friday, February 22, 2013

Rihanna Na Kate Moss Wafanya Photo Shoot Ya Jarida La ''V''...


Mwanamitindo kutokea Uingereza, maarufu kama Kate Moss pamoja na mwanamuziki nyota kutoka Marekani,Rihanna wamekuwa ni miongoni ya watu waliochaguliwa kufanya kupiga picha kwa ajili ya Jarida maarufu nchiniMarekani linalojulikana kama ''V''.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo warembo hao walizipiga wakati wakifanyiwa photo shoot...
Hapa chini ni video ikionesha kipindi wakifanya photo shoot: