Pages

Sunday, February 17, 2013

TAZAMA JINSI WATOTO WALIVYOVAA KAMA BEYONCE NA RIHANNA KWENYE REDCARPET YA TUZO ZA GRAMMY 2013


Beyonce.
Picha zote za mastaa unazoziona hapa zinaonyesha jinsi walivyovaa kwenye Redcarpet ya tuzo za Grammy 2013 ambapo kwa ubunifu wake, Tricia Messerouxaliamua kufanya project ya kuwapiga picha watoto ambao wanafanana na baadhi ya mastaa waliotokelezea kwenye Grammy na kuwavalisha kama wao…. tazama alafu uniambie mtoto gani kafanana sana na staa na alietokelezea pia.

Rihanna.
Adele.
Justin Timberlake.
Taylor Swift.