Pages

Sunday, February 24, 2013

KUNA TETESI KUWA JAY - Z AMEMDISS CHRIS BROWN KUHUSIANA NA RIHANNA.



Inasemekana kuwa Jay - Z na mkewe Beyonce  hawataki Rihanna arudiane naChris Brown ambaye amekuwa mara arudi kwa mpenzi wake wa zamani Karrueche Tran mara kwa Rihanna.

Uvumi huu umefunguka kuwa kwa mara ya kwanza kabla ya Rihanna kuachia album yake mpya ya sasa, Jay Z na Beyonce walikubali Rihanna arudiane naChris Brown, lakini baada ya Rihanna kuwa amekwisha achia Album yake, wameamua asirudiane na Chris Brown.
Uvumi umezidi kumwaga wino kuwa, Jay Z mkurugenzi wa Roc Nation aliamua kumnunulia Rihanna gari aina ya Porsche 911 Turbo pamoja na nyumba yenye thamani ya dola milioni 12, ili Rihanna asirudiane na Chris Brown.
Ukweli utafahamika tu, kama yasemwayo yapo au ni beef za mtaani tuuu!!!!!