Pages

Sunday, February 24, 2013

Recent Photo Shoot Kutoka Kwa Mwanamitindo Flaviana Matata...

Hizi ni picha kutoka kwa mwanamitindo kutoka Tanzania, Flaviana Matata alizopiga hivi karibuni. Mwanamitindo anaefanya vizuri jijini New York, America katika tasnia ya Modelling, Fashion, Design n.k.