Pages

Saturday, February 16, 2013

Mume Wa Marehemu Goldie Harvey Amuomba Prezzo Kukaa Mbali Na Familia Yao Ili Wahuzunike Kwa Amani...

Imekuwa zaidi ya saa 24 tangu kifo cha Goldie Aliyekuwa mshiriki wa Big brother africa house mate, Aliyekuwa mumewe Andrew Harvey ameibuka na picha zao za ndoa na picha nyingine ambazo zimepigwa hivi karibuni wakiwa pamoja kama mke na mume . Andrew pia kupitia ukurasa wake wa facebook amemuomba mwanamuziki wa kenya Prezzo katika wakati huu mgumu  "kuacha familia yao ihuzunike kwa amani"
Katika mahojiano na TheNetNG, Andrew pia alithibitisha kwamba yeye an Goldie waliowana mwaka 2005, yeye na Goldie walikuwa mke na mume hadi kifo chake.
 "uhusiano" na Prezzo ulikuwa ni mchezo tu kwa ajili ya TV - "Prezzo ilikuwa sehemu ya BBA mchezo, kama vile katika sinema, alisema Andrew sikuwa na wasiwasi wowote ule 
Aliendelea kusema kuwa yeye na Goldie  hivi karibuni Krismasi likizo iliyopita walikuwa pamoja pamoja  Malaysia, na mara ya mwisho kuzungumza na mkewe ilikuwa siku ya Valentines day
Na kama tunavojuwa mpaka kifo chake Goldie alikuwa anatumia jina la ukoo la Andrew - Harvey.
ukurasa wa facebook ya Andrew Harvey
Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija024Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija004
Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija051Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija034Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija020Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija037Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija001Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija013Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija011Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija017
Time Together
Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija003Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija006Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija014Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija016Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija022Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija044Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija029Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija048
Recent Memories
Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija018


Goldie Andrew Harvey - February 2013 - BellaNaija039