Pages

Thursday, February 21, 2013

Ushauri Wa DJ Choka Kwa Wanafunzi Waliofeli Mitihani Yao Ya Form IV...

DJ maarufu hapa nchini ambae pia anahusika na kukuza vipaji vya wasanii wa muziki hapa Tanzania, DJ CHOKA a.k.aMr. Apetite mapema hivi leo aliongea machache kuhusiana na matokeo ya mitihani ya Form IV na pia kutoa ushauri kwa wale wote waliofeli mitihani yao.
Choka ambae kwa sasa anafanya kazi nzuri ya kuunganisha wasanii na kufanya muziki mzuri, i hope umesikia PRESS PLAY ikiwa na kideo chake pia, aliongea na kuwaambia wanafunzi hao kuhusu matokeo yake ikiwa ni pamoja na kuwapa ushauri mzuri kuhusu maisha na kutokata tamaa wanafunzi wetu hawa.
Mitihani ya Form 4 ya mwaka huu imeonekana kuwa na matokeo mabaya zaidi kuliko yaliyopita ambapo yametoka mapema wiki hii.
Check alichoandika DJ Choka hapa chini: