Pages

Wednesday, February 20, 2013

Wema Sepetu Atambulisha Ofisi Yake Ya ''EndLess Fame Film''...

Msanii wa filamu hapa nchini maarufu kama Wema Sepetu, siku ya leo ndio ametambulisha rasmi ofisi yake ya Endeless Fame Film ambayo aliitangaza hapo nyuma kuwa atatarajia kuanzisha ofisi hiyo.
Wema ameitambulisha ofisi hiyo leo kwa baadhi ya waandishi wa habari pamoja na wasanii wenzake na kusema kuwa ofisi hiyo itaanza kufanya kazi rasmi mwezi wa tatu mwaka huu.
Hizi ni baadhi ya picha za ofisi hiyo...