It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
Friday, February 22, 2013
Rihanna Akisherehekea Birthday Yake Na Chris Breezy Katika Fukwe Za Hawaii...
Jana ilikuwa ni birthday ya mrembo na mwanamuziki kutoka Marekani, Rihanna ambae ametimiza miaka 25 sasa.Rihanna amesherehekea siku yake hiyo akiwa karibu na mpenzi wake Chris Brown "Breezy" wakiwa katika fukwe za starehe za HAWAII.
Wapenzi hawa walionekana kwa pamoja katika fukwe hizo wakifurahia siku ya kuzaliwa ya Rihanna baada ya Chris k**-join akiwa amefika kwani Rihanna alikuwa huko kabla. Chris na Rihanna walionekana wakitembea ufukweni na pia kukaa pamoja kwa furaha sana.
Baadae, mrembo Rihanna alitupia picha katika mtandao wa Instagram ukiwaonesha yeye na Breezy pamoja na baadhi ya marafiki.
Another remix ya BIRTHDAY CAKE iko katika matengenezo, LABDA!! These are some or most of the pictures zikiendelea ku-reveal kwamba Chris na Rihanna they are back and its ON!!!
Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
-
Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba
12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake
83 bad...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...