Pages

Sunday, February 24, 2013

Kumbe Wiz Khalifa Alichora Tattoo Hii Kwa Ajili Ya Mwanae...!!!

Hivi karibuni, rapper Wiz Khalifa alipata mtoto wa kiume baada ya mchumba wake, Amber Rose kujifungua. Wizambae amempa mtoto huyo jina la Sebastian Taylor Thomaz a.k.a "THE BASH" aliwahi chora tattoo usoni mwake kipindi cha nyuma ikiwa na maandishi... "THE BASH"
Wiz had this tattoo on his face kabla hata Sebastian hajazaliwa, Oh, i think Wiz had all his LOVE planned.
Mara kwa mara alipokuwa akiulizwa juu ya tattoo hiyo, Wiz alikuwa akijibu kuwa watu wataelewa baadae, haitaji kueleza kila kitu.
As Sebastian is here now, maswali yote kuhusu tattoo hii yatakuwa yameisha sasa.