Pages

Friday, February 22, 2013

Asia ft. AT - Mtoto Wa Mjini...[VIDEO]

Msanii wa kizazi kipya, Asia ametoa video ya ngoma yake nyingine mpya inayoitwa ''Mtoto Wa Mjini'', ambapo ndani ya ngoma hiyo amemshirikisha msanii maarufu kutoka Zanzibar maarufu kama AT.
Check video yenyewe hapa chini...