Pages

Thursday, February 14, 2013

BREAKING NEWS: Goldie Harvey Afariki Dunia....

Habari za uhakika zilizotufikia kutoka Nigeria, Msanii aliyeshiriki shindano la Big Brother Africa (BBA), Goldie amefariki dunia usiku huu. Habari hizo zimepatikana katika account ya facebook ya msanii huyo aliokuwa akitumia ambapo pia ilitokea katika account yake ya twitter ikionesha aliyeandika ni Administrator wa account hizo.

GongaMx ilijaribu kuwasiliana na watu wa karibu wa msanii huyo, AY, Prezzo na DJ Arthur ambao nao pia waliweza kuthibitisha habari za kifo hicho cha mwimbaji huyo kutoka nigeria