Pages

Friday, February 22, 2013

Brand New: Dully Sykes - Funga Domo Lako...

Baada ya kufanya vizuri kwenye ile ngoma yake ya UTAMU ambayo ameshirikiana na Diamond na Ommy Dimpoz.Sasa Dully Sykes amerudi tena na ''Funga Domo Lako''. Ni ngoma mpya ikiwa imefanyika ndani ya Studio 4.12studio zinazomilikiwa na msanii huyo.
Dully ni msanii aliye kwenye industry ya muziki wa kizazi kipya, yaani Bongo Flava akitamba kwa kubaki kwenye main stream kuliko wakongwe wenzie. Dully Sykes pia anamiliki studio mbili za kurekodi muziki, moja ikiwa ndo hii iliyotengeneza ngoma mpya hii na nyingine ni Dhahabu Records iliyoko maeneo ya Tabata, Dar Es Salaam.
Sikiliza ngoma yenyewe hapa chini...