
Baada ya birthday yake kuisha akapoti kwenye ukurasa wake wa facebook picha hii na kujihita chrianna akimahanisha ni chris na rihanna na inasemekana walikwenda kujichimbia beach siku ya birthday yake wawili hawa wanaonekana kuja kwa kasi sana
It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.