Pages

Wednesday, February 20, 2013

Video Ya Mabeste Ya ''DOLE'' Kutoka Wiki Hii...


Msanii kutoka kwenye Label ya B'Hitz maarufu kama Mabeste ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Doleambayo inafanya vizuri katika media tofauti za hapa nchini na pia hata nje ya Africa Mashariki anataraji kutoa video yake hivi karibuni.
Mabeste yuko mbioni kuachia kichupa cha ngoma yake ya ''DOLE'', ambapo itatoka tarehe 23 mwezi huu. ikiwa imefanywa na Director Nisher kutoka Arusha.