Pages

Sunday, February 24, 2013

KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST WANATARAJIA KUPATA MTOTO WA KIKE.


Habari zilizopo kutoka katika mitandao ya kimarekani kama US Weekly zimeeleza kuwa wapenzi hawa Kim na Kanye wanategemea kupata mtoto wa kike.

Inasemekana kuwa Kanye West alikuwa akipenda kupata mtoto wa kike, huenda sasa akaongeza mapenzi mara dufu kwa mpenzi wake au mama wa mtoto wake yani Kim Kardashian.