Pages

Friday, February 15, 2013

Alichokisema Prezzo Baada Ya Taarifa Ya Msiba Wa Goldie...

Baada ya taarifa za msiba kusambaa kila sehemu Africa na dunia kuhusu kifo cha mwanamuziki Goldie Harvey, hatimaye aliyekuwa mume mtarajiwa wa marehemu Goldie, Prezzo ameonyesha kuguswa kwake na kifo hicho cha mpenzi wake.
Prezzo ameandika maneno katika ukurasa wake wa facebook yakionesha ni jinsi gani ameguswa na msiba huo. Hapa chini ndio maneno aliyoandika msanii huyo...