Pages

Sunday, February 24, 2013

POLISI WAMEONA BORA NAWAO WAPIGE NAE PICHA


Baada ya kukamatwa kwa kosa la kukutwa na bangi aliachiwa kwa kulipa faini na polisi walivyo gungua kwamba huyo ni 2chain wakaona sio deni waki piganae picha ya ukumbusho ahahahahahahahahahaha