
Msanii wa kizazi kipya maarufu kama Timbulo ambae anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Domo Langu, WaleoWakesho, Samson Na Delila na ngoma hizo kumfanya atambulike zaidi katika tasnia hii ya muziki inasemekana amekamatwa na madawa ya kulevya.

It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.