Baada ya fiance wake, Amber Rose kujifungua mtoto wao wa kiume usiku wa kuamkia jana, Wiz Khalifa ameonekana akimbeba mtoto wake huyo kwa mara ya kwanza mara baada ya mpenzi wake kujifungua salama.
Sebastian'' The Bash'' Taylor ndio jina walilochagua kumpatia mtoto huyo.

