Pages

Saturday, February 23, 2013

Vitu Kumi Msichana Anavyoangalia Kwa Mvulana Siku ya Kwanza Mnapokutana


  • Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.

  • 1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.

  • 2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

  • 3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

  • 4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

  • 5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

  • 6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

  • 7.Ukiongea nae muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujamtongoza, anajua umempenda.

  • 8. Ukimshika au kumgusa popote kwenye maongezi basi unamtaka kimwili.

  • 9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

  • 10. Usipomtazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unamuogopa.