Pages

Thursday, February 14, 2013

Flaviana Matata Katika New York Fashion Week...

Flaviana wont stop at nothing this time!!!
Hizi ni picha zinazomuonesha mwanamitindo kutoka TanzaniaFlaviana Matata akiendelea kufanya mambo makubwa katika kuendelea kuitangaza Tanzania.
Flaviana amekuwa ni miongoni wa Models ambao wamechaguliwa kushiriki katika tamasha la New York Fashion Week. Mwanmitindo huyu amekuwa akifanya vizuri sana katika tasnia hii.
NY Fashion Week ni tamsha kubwa la mitindo duniani linalofanyika katika jiji la New York, America likishirikisha wanamitindo wenye majina makubwa sana.
Hapa picha zinamuonesha mwanamitindo Flaviana akiwa back stage akijiandaa kwa ajili ya kupita kwenye runway za tamasha hilo.
Flaviana amekuwa akifanya vizuri sana kwenye mitindo na TZ models should really look up on her!!