Pages

Friday, February 15, 2013

Hili Ndilo Gari Alilopata Nalo Ajali Ney Wa Mitego...

Rapper kutoka Manzese, Ney Wa Mitego usiku wa kuamkia jana alipata ajali mbaya ya gari maeneo ya mataa yaMbuyuni karibu na kanisa la St. Peters.
Katika ajali hiyo rapper huyo aliyekuwa anatumia gari yake aina ya Altezza alipata jeraha sehemu ya mguu wake ambako ulishtuka kidogo ila mwenzie ambae alikuwa amekaa pembeni yake ndio aliumia sana hasa sehemu ya kichwani ambapo lakini hadi kufikia hadi jana alikuwa amesharuhusiwa hospitali.
Hizi ni baadhi ya picha za gari ya rapper huyo zikionyesha gari hiyo ilivyopata ajali...