Pages

Wednesday, February 6, 2013

[PHOTOS] Sababu Ya Chris Brown Na Rihanna Kuondoka Mapema Kwenye Super Bowl Jumapili...

Katika hali isiyo ya kawaida watu wengi walikuwa wakijiuliza kwa nini Chris Brown na mpenzi wake Rihanna waliwahi kuondoka katika Tamasha la Super Bowl ambalo lilifanyika siku ya jumapili...
Sababu iliyowafanya kuondoka katika tamasha hilo ni kuwa walisikia kuwa aliyekuwa mpenzi wake na Chris Breezy, Karrueche na boyfriend wake nao wanakuja kuhudhuria tamasha hilo.
Chris na Riri waliamua kuondoka ukumbini hapo na kwenda zao katika club ya Star Studded Club ambako huko pia walikutana na mastar wenzao kibao kama Wiz Khalifa, Ne-Yo, Sean Kingston, Soulja Boy na wengine wengi...
Angalia picha zaidi hapo chini: