Pages

Friday, February 8, 2013

WEMA AFUNGUKA KUHUSU BIG BROTHER AFRICA





Ukweli ni kwamba bado hajachukua fomu ya kushiriki na wala hajawa na mpango wa kwenda BBA 2013 kwa sababu ana mipango mingi ikiwemo kufungua ofisi yake mpya.

Lakini kwa uapnde mwingine wa  Wema anasema anafurahi kusikia watu wakimuongelea hivyo kwa sababu wameonyesha kumuamini kwa kumuona anaweza kuingia BBA, anachosisitiza ni kwamba  aliwahi kuwaza kwenda BBA lakini hajawa na uhakika kuhusu yeye kushiriki.