
Sasa habari mpya kuhusu ngoma hiyo ni kuwa Video ipo tayari na itaachiwa kwa mara ya kwanza katika ukumbi wa disco wa New Maisha Club ulioko maeneo Oysterbay jijini Dar siku ya Jumapili ya tarehe 10 mwezi huu.
It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.