
Rihanna amechaguliwa katika vipengele kadhaa katika tuzo hizo vikiwemo vya Best Pop Solo Perfomance pamoja naBest Rap/Sung Collaboration.
Mwanadada Beyonce , Prince na Jannifer Lopez pia wameongezwa kuwa watangazaji au washehereshaji wa siku hiyo ya ugawaji wa Tuzo hizo.