Pages

Thursday, February 7, 2013

[PHOTOS] Tiwa Savage Avishishwa Pete Ya Uchumba...


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, mwanadada Tiwa Savage ambae anatamba na baadhi ya track zake kama Love Me Love Me, Kele Kele na nyingine nyingi amevishwa ''Pete'' na mchumba wake.
Tiwa amevishwa pete hiyo na mchumba wake ambae pia ni meneja wake kimuziki aitwae Tee Billz ambae amekua nae kwenye mapenzi mazito ya siri kwa kipindi kirefu sasa.
Tee Billz amemvisha pete msanii huyo katika siku yake ya kuzaliwa ambapo kwa taarifa nyingine kutoka kwa wawili hao ni kuwa watafunga ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.
Ona picha za tukio hilo hapa chini: