Pages

Monday, February 4, 2013

PICHA ZA GARI ALILONUNUA BLOGGER MAARUFU WA NIGERIA LINDA IKEJI @lindaikeji


Anaitwa Linda Ikeji blogger Mnigeria ambae Naija wanamuita #Mchapakazi japo amehusishwa kwenye kashfa ya kuwa kwenye dini inayomuabudu shetani, ukiachia mbali hiyo kashfa ni kwamba hili gari alilonunua ni Infinity Fx 35 Suv YA 2011 ambayo thamani yake ni Naira milioni 8 za Nigeria.
Baada ya kutoa uthibitisho wa ununuzi wa hili gari, blogger maarufu Linda ambae pia ni mfanyabiashara amesisitiza kila mmoja kujipanga na kujituma kwenye kila anachowaza kwamba ni msingi wa maisha yake.