Pages

Wednesday, February 13, 2013

Behind The Scene: Mabeste ft. Deddy - Dole...[PHOTOS]

Mwanamuziki kutoka label ya B'Hitz maarufu kama Mabeste sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma yake ya''Dole'' ambayo amekishirikisha kichwa kingine kutoka kwenye label hiyo, Deddy.
Mzigo mzima wa utengenezaji wa video hiyo unasimamiwa na Director Nisher kutoka Arusha.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo...