Pages

Wednesday, February 13, 2013

Miss Tanzania-2012 Atoa Zawadi Za Valentine Kwa Watu Mbalimbali Leo...

Taji la Redd's Miss Tanzania ambalo linashikiliwa na mrembo Brigitte Alfred leo ametoa zawadi za Valentine kwa watu mbalimbali jijini Dar es salaam.
Mrembo huyo amewakabidhi zawadi hizo baadhi ya watu akiwemo mwanamitindo Bi. Khadija Mwanamboka,  Bw. Ephraim Kibonde [Mtangazaji wa CLOUDS FM] na wengine wengi.
Tazama picha zaidi hapa chini...