
Hii itakuwa ni ngoma mpya kutoka kwa Nikki Wa II ambayo ameshirikiana na Joh Makini & G-Nako ikiwa inaitwa ''Nje Ya Box''. Ngoma hii inatarajiwa kuachiwa kwenye masikio yako siku ya Valentine [14th feb] na ikiwa imetengenezwa na Producer Nahreel na mixing zimefanywa na mtu mzima Chizan Brain.