Pages

Monday, February 4, 2013

MSANII WA FILAMU BONGO AMWAGA LADHI BAADA YA POMBE KUMKOLEA.

 Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
     Tukio hili lilitokea juzi usiku ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
    Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza  kama vile  Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
    Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kweli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa kwa matukio ya kishenzi.