Pages

Tuesday, February 12, 2013

[PHOTOS] Beyonce Achukua Front Page Kwenye Jarida La VOGUE "Power Issue"...

Beyonce been busy lately ikiwa ni pamoja na kuandaa album yake mpya pamoja na ziara mbalimbali alizopanga kufanya mwaka huu. The DIVA herself, Beyonce apata shavu la kutokea kwenye Jarida la VOGUE na inside story ya "Power Issue". Beyonce ameongelea mambo mengi kwenye jarida hili hususani lile swala la watu kuzusha kuwa alikuwa ana mimba ya uwongo.
Ndani ya jarida hilo, Beyonce pia amezungumzia jinsi anavyomlea mwanae Blue Ivy Carter na maisha yake na mumewe Jay-Z kwa ujumla.
Hapa chini, ni baadhi ya picha za utengenezaji wa jarida hilo...