Pages

Tuesday, February 5, 2013

[PHOTOS] Check Behind The Scene Ya Video Ya Wiz Khalifa ft. Akon - Let It Go...


Rapper kutokea marekani, Wiz Khalifa ambae kwa sasa anatarajia kuwa Baba hivi karibuni, kwa sasa rapper huyu ni kuwa yuko mbioni kuachia Video ya ngoma yake nyingine ikijulikana kama ''Let It Go'' ambayo amemshirikisha Akon.
Wiz K ambae mpenzi wake, yaani Amber Rose anataraji kujifungua muda wowote kutoka sasa, anatengeneza video ya ngoma hiyo ambayo ni moja ya ngoma mpya ambazo zipo kwenye album yake mpya ya O.N.I.F.C.
Ona Picha Zaidi Hapa Chini: