Pages

Tuesday, February 5, 2013

Q-Chief Achukua Fomu Za Kushiriki Big Brother Africa...


Msanii mkongwe katika muziki huu wa Bongo FlavaQ Chief nae amekuwa miongoni mwa watu waliojitokeza kuchukua fomu ya kushiriki lile shindano linalokusanya waafrika mbalimbali na kuwa katika jumba moja la Big Brother Africa.
Shindano hilo ambalo linatarajiwa kuanza kufanyika mwishoni mwa mwezi wa tano mwaka huu ambalo huchukua washiriki kutokea nchi tofauti za Africa na kuishi kwa pamoja kwa takribani siku 90. Kutoka Tanzania, ma-star waliochukua fomu hizo hadi sasa ni mwanadada Wema Sepetu, Hemedy na Q-Chief.