Pages

Tuesday, March 12, 2013

Check Interview Ya Alikiba Na Ommy Dimpoz Kwenye Sporah Show...

Hii ni show nyingine ya kipindi cha Sporah ambacho hufanya mahojiano na watu maarufu mostly kutoka Africa kikirekodiwa jijini London, UK.
This time waliopo katika mahojiano na Sporah ni wasanii wawili kutoka hapa nchini ambao kwa sasa wanafanya vizuri sana katika tasnia ya muziki, Alikiba [CEO of Pop It In Music] pamoja na Ommy Dimpoz.
Check kipande cha video hiyo hapa chini: