Pages

Friday, March 15, 2013

Shindano La Miss Tanzania 2013 Lafunguliwa Rasmi...


Shindano la kumsaka yule mlimbwende wa Tanzania ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka sasa limefunguliwa rasmi, ambapo kwa mwaka jana alieondoka na Taji hilo ni Mrembo Brigitte Alfred.
Ufunguzi huo ulifanyika siku ya jana katika Hoteli ya Serena iliyoko jijini Dar, ambapo pia kuliandaliwa tafrija fupi ya ufunguzi rasmi wa mashindano hayo na kupambwa na B-Band.
Hizi ni baadhi ya picha za matukio yaliyokuwa yakiendelea hapo jana kwenye tafrija hiyo...
_______________________________