Pages

Friday, March 8, 2013

STEVE NYERERE KUACHIA “BEFORE WEDDING”

Msanii wa bongo Movie mwenye lundo la mashabiki wa filamu za kibongo, Steve Nyerere amefunguka kuwa kwa sasa yuko kambini ambapo anaendelea kushoot filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la “Before Wedding”
Kwa mujibu wa Steve, Filamu hiyo ipo katika hatua ya mwisho ila mashabiki wakae tayari kwa ujio huo mpya kwani katika movie hiyo amehusisha wasanii mbalimbali akiwemo na Jackline Wolper.

Steve amesema kuwa katika filamu hiyo mpya “Before Wedding” ameelezea maisha na matukio mbalimbali yanayotendeka katika jamii kila siku