Pages

Saturday, March 16, 2013

Michelle Obama, Mbele Ya Jarida La Vogue...


Ni mke wa Raisi wa Marekani, Michelle Obama, kwa mara ya pili sasa ameonekana kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa jarida maarufu sana duniani, Vogue.
Mama huyu ambae sasa ana umri wa miaka 49 ametokea tena kwenye jarida hilo ambalo litakuwa toleo la April mwaka huu. Star wa mwisho ambae alitokea kwenye ukurasa wa mbele wa jarida hilo, alikuwa Beyonce