Pages

Thursday, March 14, 2013

New: Banana Zorro - Sio Kama Wale..


Mwanamuziki mkongwe kabisa kutoka Tanzania, akijulikana kama Banana Zorro, ameachia video ya wimbo wake ambao aliuachia mwezi uliopita unaojulikana kwa jina la Sio Kama Wale.
Kazi nzima ya utengenezaji wa video hiyo umesimamiwa na Director Karabani kutoka katika kampuni ya A.T.O.K.
Cheki video hapa chini: