Pages

Saturday, March 16, 2013

Check Ujumbe Wa Diamond Kuhusu Kutarajia Mtoto..


Mwanamuziki mashuhuri Tanzania ambae anazidi ku-make headlines kwa kazi zake nzuri, Diamond Platnumz anatarajia kupata Mtoto.
Platnumz ambae fans wake wamepokea vizuri ngoma yake ya KESHO kwa sasa yuko kwenye mahusiano na mdadaPenny, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza. 
Masaa kadhaa yaliyopita, Diamond aliandika katika mtandao wa facebook, "I believe whats on the way coming it special form God. DIAMOND IS GONA BE A DAD" huku akiweka na picha inayomuonesha na Penny katika mapenzi zaidi.
Check hapa chini picha aliyoweka:
_______________________________