Pages

Thursday, March 28, 2013

ALBUM COVER: Check Cover Art Ya Album Mpya Ya Eve - ''LIP LOCK''...


Imepita miaka kumi na moja sasa tangu rapper kutoka Marekani maarufu kama Eve kudondosha Album yake sokoni. Rapper huyo sasa ameamua kurudi tena kwenye game na kuja na album yake mpya ambayo ameipa jina la ''Lip Lock''.
LIP LOCK inabeba jumla ya nyimbo 12 na inatarajia kuiingiza sokoni ifikapo hapo May 14 mwaka huu. Pia ndani ya album hiyo amewashirikisha baadhi ya wasanii wakiwemo Swizz Beatz, Miss Eliot pamoja na Snoop Dogg.
Hii ni moja ya ngoma ambayo ipo ndani ya album hiyo inayoitwa ''Make It Out This Town'', Isikilize hapa chini...