Pages

Thursday, March 21, 2013

J Martins Atua Bongo Dar Es Salaam..


Msanii kutoka Nigeria famously known as J Martins jana mida ya jioni alitua katika ardhi ya Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake Ambwene Yessaya (AY)J Martins alithibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter ikiwa ni pamoja na AY pia.
Bado haijajulikana sababu halisi ya yeye kuja bongo kimya kimya, but kwa taarifa zaidi juu ya habari hii endelea kutembelea GongaMx na tutazidi kukupa taarifa juu ya hili.
Hizi ni baadhi ya tweetz kutoka kwa J Martins pamoja na AY...