Pages

Tuesday, March 26, 2013

Stamina + Young Killer + Quick Rocka Kwa Joint Mpya Ya Pamoja... Its A Monagangsta Production...


Imeonekana hivi karibuni itadondoshwa bonge ya track kutoka kwa vichwa vitatu ambavyo ni Stamina, Young Killer pamoja naQuick Rocka.
Ngoma hiyo ambayo imetengenezwa na Producer MonaGangstarkutoka katika studio ya Classic Sound inajulikana kama JANA NA LEO ikishirikisha wakali...
Jana na Leo imefanywa jana usiku na wasanii hawa katika studio hizo zilizopo maeneo ya Kinondoni [Manyanya].
Check picha zaidi hapa chini ikiwa ni pamoja na tweets from the stars...
Producer MonaGangsta akipika mzigo...
Stamina... Quick Rocka rockin' the CHORUS in the booth...