Pages

Friday, March 15, 2013

Interview Na Julie Wang'ombe... Msichana Wa Miaka 22 Alieandika Hotuba Ya Rais Mteule Wa Kenya...


Kama unakumbuka siku chache zilizopita tulikuletea habari kuhusiana na binti mwenye umri wa miaka 22 akijulikana kwa jina la Julie Wang'ombe ambae aliandika speech ya Rais Uhuru Kenyatta.
Sasa basi, check interview aliofanyiwa na shirika la habari duniani, BBC akielezea ilivyokuwa mpaka yeye kuandika speech hiyo...
Check the interview video hapa chini: