Pages

Friday, March 15, 2013

Video ya Kala Jeremiah "KARIBU DAR" Machoni Mwako Leo...


Baada ya kuachia audio ya wimbo wake wa ''Karibu Dar'' ambao umetoka Jumatano, sasa mpya kutoka kwa rapperKala Jeremiah ni kuwa anaachia video ya wimbo huo leo jioni...
Video hiyo ambayo amemshirikisha mkali Ben Pol, iko tayari ataiachia kupitia kituo kikubwa cha televisheni Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza.
Ngoma hiyo mpya ambayo inafanya vizuri sana toka itoke imekuwa ni muendelezo mzuri wa Kala hasa baada ya kuachiaDEAR GOD miezi kadhaa iliyopita ambayo ilikuwa ngoma kali pia...
Keep it with TEEN BLOG SWAGG ili uweze kuwa wa kwanza kuona video hiyo kutoka kwa Kala.