Pages

Tuesday, March 12, 2013

Chris Brown Akivuta Bangi Jukwaani Show Nchini Ghana...


Wiki iliyopita mwanamuziki kutoka marekani maarufu kama Chris Brown alikuwa akipiga show nchini Ghana, na kama unakumbuka tulikuletea video ya baada ya show hiyo kufanyika.
Ingawa na kuwa hairuhusiwi, Chris alionekana kupiga mjani on stage wakati performance ikiendelea.
Tukio hilo limebaki kuwa gumzo hadi sasa ambapo kuna habari pia kuwa nchi ya Ghana kupitia viongozi husika wanamtafuta Chris na kumshtaki kuhusiana na kitendo hicho.
Mastar wengi wa marekani wamekuwa wakifanya hivi katika majukwaa tofauti hasa baada ya kilevi hicho kuruhusiwa kwenye baadhi ya majimbo ya nchi hiyo.
Mcheck Chris Brown akichoma zigo hapa chini