Pages

Friday, March 15, 2013

BRAND NEW: Just A Band Kutoka KENYA Wadondosha "MATATIZO"...


Ni kundi kutoka Kenya ambalo linaundwa na wasanii watatu ambao kwa pamoja wanajiita Just A Band. Ni kundi ambalo linafanya vizuri sana katika industry ya muziki likiwa na album kadhaa mpaka sasa.
Just A Band wameachia video yao mpya inayojulikana kama MATATIZO.
Moja ya nyimbo walizowahi kufanya Just A Band na watu kuzidi kuwaelewa vizuri ni ile ya ''Ha He'' ambayo walimshirikisha Makmende.
Cheki video ya ngoma hiyo hapa chini..